Promotional Banner - Delivery in 2-3 hours, Quality & Original, Delivered
Musa Mashakani in Kiambu
Musa Mashakani in Kiambu
Musa Mashakani in Kiambu
Product image
Product image
Product image

Musa Mashakani in Kiambu

SKU.: BB25295846

✔ In stock

🚚 Fast delivery within 2-3 hours 🚚 Fast delivery within 2-3 hours
Available from local sellers in Kiambu, with convenient delivery and a wide range of products to choose from. Visa na Vituko vya Musa ni tafsiri ya Moses Series vilivyoandikwa na Barbara Kimenye, na ambavyo vinaangazia hali ya maisha ya wanafunzi shuleni mwao. Mbali na kuwa vinaburudisha na kuchekesha kwa visa mbalimbali vinavyomkumba Musa, yapo mafunzo mengi anayopata msomaji. Tafsiri hizi zinadumisha mvuto na mnato wa kazi asilia, na zitakupa shauku ya kusoma hadithi yote ili kujua hatima ya kisa Businessclaud.com jambo geni kwa Musa kuwa mashakani. Safari hii, yeye na marafiki zake katika Mukibi’s Educational Institute for the Sons of African Gentlemen wanafanya mgomo wa kimzaha kuhusu chakula wanachopewa shuleni. Mwanzoni, wanauona mzaha huo kuwa murua. Hata hivyo, Mwalimu mkuu, Bw Mukibi, hafurahishwi – yeye si mtu wa kuficha hisia zake.
You can explore our full range of Textbooks in Kiambu.
FRw 8,138.00
💬 Order via WhatsApp