Chakula Cha Biko 1C in 1
SKU.: BB25295803
✔ In stock
🚚 Fast delivery within 2-3 hours
🚚 Fast delivery within 2-3 hours
Available from local sellers in 1, with convenient delivery and a wide range of products to choose from. Chakula cha Biko na Hadithi Nyingine Queenex hadithi za ziada ni msururu wa hadithi zinazofuata mfumo mpya wa elimu. Mfumo huu wa elimu unadhamiria kuhakikisha kuwa matokeo ya mafunzo ni ujenzi wa umilisi utakaomwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi wake kujiendeleza shuleni, nyumbani na katika jamii. Kitabu hiki ni cha wanafunzi wa Gredi ya Kwanza na kimejumuisha hadithi za kusisimua, picha za kuvutia na msamiati. Hadithi hizi zitamwezesha mwanafunzi kukuza maadili, umilisi wa lugha na pia kuelewa masuala mtambuko. Mada kuu zilizozingatiwa katika kitabu hiki ni: + Usafi wa mwili + Usafi wa mazingira + Vyakula vya kiasilia Shuleni Vitabu katika kiwango hiki: Kiki no Mina Darasani no Hadichi Nyingine Nana na Vinyau no Hadithi Nyi Chakula cha Biko no Hadithi Nyingine
You can explore our full range of Textbooks in 1.
A$ 6.96